Jamani mimi ni kijana wa kiume nina mchumba wangu muda mwingi umepita,lkn tabia zake kwa sasa hazinilizishi kwan nahisi amenizoea sana na kuniona wa kawaida.Hivyo nataka kumuacha lakini amekuwa akinambia kwamba siku nikimuacha anajiua so sielewi nifanyeje jamani,wana JF naombeni msaada wenu.
yaweza kuwa ya ktt kwakoAaagh hii thread ya kitoto sana.

Aaagh hii thread ya kitoto sana.