Hivi umbo zuri ndo lipoje????
ndo hao wako jamiiforumsMke mwema hapatikan Jamii Forums hao unapishana Nao huko kitaa na ofisin just choose and Pick
Mke mwema hapatikan Jamii Forums hao unapishana Nao huko kitaa na ofisin just choose and Pick
Ukimpata Post humuKwani waliopo jamiiforums wanaishi wapi?wanafanya kazi wapi?
Heshima ya jamiiforums(Home of Greater Thinker) inashuka sana kwa sababu ya watu kama nyie
Safi sana Jibu zuriUtapata ila sifa ya miaka itakuumiza maana walio chini ya 27 bado wanasoko hawatafuti waume social netwk ungeongeza zaid ya 27 hao ndo soko limeisha wanazeekea home mpk humu wanatafuta ndoa
usisahau kamrejesho mkuu.Asante mkuu