Habari wanajf,
Natafuta mchumba wa kike,
Mimi ni kijana mfanyabiashara hivyo natafuta mchumba awe mfanyabiashara pia.
Sifa zingine ni kama ifuatavyo
1.Umri usizidi miaka 26
2.Awe mzuri
3.Elimu kuanzia form 4-
4.Mrefu,mfupi sitaki bora mrefu sana
5.Rangi yoyote,but maji ya kunde atapewa kipaumbele.
Kwa anayemeet vigezo ani pm