Mchepuko umekua kero jamani nafanyaje?

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
422
Reaction score
2,008
Nilikutana nae mwaka 2018 tukawa karibu sana kuchat na kupigiana simu kila muda, Mimi nilivo nikiwa na relation na care sana asubuhi ntakujulia hali mchana na jioni ndivo nilivo

Huyu mchepuko kuna wakati ulikata mawasiliano nikimtafta anasema yupo bize mara hivi mara vile kiufupi ni kama nilibwagwa nami nikabwagika tukaa kama mwaka ivi au mwaka na nusu

Hatimae nikazoea nikamove on na maisha yangu mara akaanza kunitaft as if hakuna kilichotokea nikamuuliza ulipotelea wapi eti majukumu tu

Akaomba msamaha sana na kwa vile Lina tako hatimae nikamla japo nilivomaliza moyo uliniuma saana na mazingira ya kumgonga sio chumban alikuja na gari yake tukawa tunaongea akanisihi sana ndo nikamla ndani y gari

Ndo nmeroga kumbe anataka mawasiliano yarudi kama mwanzo kitu ambacho saiv siwezi kumtake care kama mwanzoni anapiga simu na text hata nikiwa home nimemwambia haelew nikimbock anataft namba nyingine kaniitia dada yake kusulihisha tumeongea nimewaambia tatizo kua yeye ndo amenibwaga wananambia nisamehe najitahidi kusamehe lakini roho inakua nzito cjui nifanye nini bandugu bangu
 
Mkuu ni principle tu na law of love attraction katika namna ambayo inastaajabisha unapoacha kumfuatilia mwanamke ndio namna ambavyo yeye atazidi kukufuata.
 
Na ashakutengeneza kwa mtaalamu usifurukute SAsa pima kipi bora familia au mchepuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…