Ni kweli hatujachelewa muda isiwe tatizo kwani tunaweza
kuwahi lakini tukakwama mbele ya safari.
Kama tulikosea mwanzoni hatuna budi kujishahihisha
kuliko kuendeleza makosa yale yale yatakayoleta
hasara za kiusalama hasa upande wa Zanzibar.
Ni bora mchakato huu ukasitishwa na kurudiwa upya
na hii iwe ni baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 kwani
misikumo ya kikampeni haitakuwepo na kizuri zaidi tutapata
viongozi wapya wenye mtazamo chanya juu ya Taifa lao.
Hongera Mama Bernadeta Kiliani you are a Great Thinker.