mchaga noma

Joined
Oct 23, 2012
Posts
6
Reaction score
0
ndan ya mel watu wa makabila tofaut walikua na mizigo mel ililemewa ikabidi kila mtu apunguze mzigo.Mzungu aka2pa computer akasema kwe2 zipo tele,mchina akatupa simu akasema kwetu hizi zipo,mmasai akatupa shanga akasema kwe2 zipo za kumwaga,mchaga alikua hajuh a2pe nn kila ki2 alikitaka mara ghafla akam2mbukiza mmasai akasema"yesu na maria hawa wapo tele arusha.
 
Hahahaaaaa......... Chezeya mchaga weyee!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…