Mchaga apendaye mbege kuliko mbinguni

Maranzana

Senior Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
192
Reaction score
97
MCHAGA Mlevi alipanda Hiace: konda akamwambia: tabia yako ya ulevi hutafika mbinguni. Mlevi: MBUUTA!! Yesu wangu!, kumbe mnaenda mbinguni? Nishusheni hapa naenda Marangu mtoni kupitia kilema kuingia kirua kuna mbege kwa watoy wangu. Chaa!! Afadhali konda umeropoka ningekosa uhondo.
 
Ukiwatania watu ujue jiografia ya maeneo yao vilevile.Huwezi kuchanganya Marangu mtoni, Kilema na Kirua kana kwamba maeneo hayo yapo kwenye barabara moja!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…