Aksante. Mimi nataka mbwa seriously! Ila nipe majibu haya;-1. Umri wa mbwa, Jinsia yake, Kabila je ni German F asili au cross bread? Umewachoma chanjo na je una kadi ya chanjo? Mwisho uko mkoa gani? Mimi niko Mza. Aksante

Mbwa ni Germany, Mpaka kufikia Ijumaa wanafikisha Wiki ya saba... Kuhusu chanjo wameshachoma moja details zipo Tarehe saba Ya next month wanachoma chanjo nyingine.. Mbwa wanapatikana dar Es salaam