Mbunge wa Iringa mjini, Mchungaji Msigwa akamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa mahabusu

Msigwa ni mjenga hoja mzuri; anatakiwa tu kuacha siasa kama za [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] za jaziba, uanaharakati, matusi, nk. Akiacha hayo akajikita kwenye kujenga hoja, anaweza kuisaidia sana chadema. Chadema sasa hivi inahitaji sana kiongozi mwenye hekima na busara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…