Mh. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, huyu ndie Mbunge anae ongoza kwa taarifa katika Bunge letu, mimi ninachotaka kumuuliza ni kuwa yeye wananchi wake walimtuma kwenda kutoa taarifa Bungeni au kuisimamia Serikali pamoja na kutatua kero zinazo wakabili??? Mh. wito wangu kwako ni kuwa badilika, na mara nyingi taarifa unazotoa huwa ni kama vile ni za kutaka kuwanyamazisha au ku-divert kile wapinzani wanachojadili. Nchi haiwezi kuendelea kwa taarifa nchi itaendelea kwa political commitment zenu pamoja na sisi wananchi kufanya kazi kwa bidii, so, wakati sisi tunafanya kazi huku majimboni nanyi bungeni chakarikeni si kwa taarifa bali kwa hoja nzito na zenye maslai ya Taifa......
Nimemaliza
Mimi nadhani utakuwa huna sababu zako binafsi na huyo mbunge sijui amekupora demu wako, mbona wabunge wengi tu pumba wewe umemuona huyo mmoja tu
Ahahaha! Mkuu naona umjui Chatu dume, hilo domo langu ndio nimeumbwa hivyo mimi napita tuwe utakuwa gamba,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ila sura yako mmmmm au ndio ulivua gamba domo likaongazeka
Mh. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, huyu ndie Mbunge anae ongoza kwa taarifa katika Bunge letu, mimi ninachotaka kumuuliza ni kuwa yeye wananchi wake walimtuma kwenda kutoa taarifa Bungeni au kuisimamia Serikali pamoja na kutatua kero zinazo wakabili??? Mh. wito wangu kwako ni kuwa badilika, na mara nyingi taarifa unazotoa huwa ni kama vile ni za kutaka kuwanyamazisha au ku-divert kile wapinzani wanachojadili. Nchi haiwezi kuendelea kwa taarifa nchi itaendelea kwa political commitment zenu pamoja na sisi wananchi kufanya kazi kwa bidii, so, wakati sisi tunafanya kazi huku majimboni nanyi bungeni chakarikeni si kwa taarifa bali kwa hoja nzito na zenye maslai ya Taifa......
Nimemaliza
Sasa kama angekuwa hana sababu zake binafsi dhidi ya mbunge huyo kama unavyodai, angeandika alivyoandika?Mimi nadhani utakuwa huna sababu zako binafsi na huyo mbunge sijui amekupora demu wako, mbona wabunge wengi tu pumba wewe umemuona huyo mmoja tu
Ahahaha! Mkuu naona umjui Chatu dume, hilo domo langu ndio nimeumbwa hivyo mimi napita tu
Mh. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, huyu ndie Mbunge anae ongoza kwa taarifa katika Bunge letu, mimi ninachotaka kumuuliza ni kuwa yeye wananchi wake walimtuma kwenda kutoa taarifa Bungeni au kuisimamia Serikali pamoja na kutatua kero zinazo wakabili??? Mh. wito wangu kwako ni kuwa badilika, na mara nyingi taarifa unazotoa huwa ni kama vile ni za kutaka kuwanyamazisha au ku-divert kile wapinzani wanachojadili. Nchi haiwezi kuendelea kwa taarifa nchi itaendelea kwa political commitment zenu pamoja na sisi wananchi kufanya kazi kwa bidii, so, wakati sisi tunafanya kazi huku majimboni nanyi bungeni chakarikeni si kwa taarifa bali kwa hoja nzito na zenye maslai ya Taifa......
Nimemaliza
Mimi nadhani utakuwa huna sababu zako binafsi na huyo mbunge sijui amekupora demu wako, mbona wabunge wengi tu pumba wewe umemuona huyo mmoja tu
mimi nadhani utakuwa huna sababu zako binafsi na huyo mbunge sijui amekupora demu wako, mbona wabunge wengi tu pumba wewe umemuona huyo mmoja tu