Alichofanya na anachofanya Lissu ni dalili ya ukomavu wa hali ya juu. Amebana matugu ya mapolisi hadi wameachia wenyewe. Asiye mkomavu hawezi hicho.Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe....
Umeandikiwa au umwandika ww kutoka kwenye kichwa chako.Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe....
Mbowe anajutia kumpa msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema
Hahahaha bia yetu posho yako itakuwa kubwa sana kwa siku, maana ukisikia Mbowe tu hatakama ulikuwa unaoga lazima utoke
Kumbuka Lowassa alipanda daladala pia alikuwa anaitwa Rais, Rais!! Huyu naye anapitia njia hiyo hiyo!! KIFUATACHO tarehe 28/10/2020 KINAFURAHISHA!!Alichofanya na anachofanya Lissu ni dalili ya ukomavu wa hali ya juu. Amebana matugu ya mapolisi hadi wameachia wenyewe. Asiye mkomavu hawezi hicho. Wamemsimamisha kampeni lakini amewapiga chenga ya mwili anafanya kampeni babkubwa. Matatizo kama ya kuenguliwa yanasababishwa na tume iliyoteuliwa na mmoja wa wagombea na kufuata amri zake. Mbowe kugombea ubunge kulikuwa na umuhimu wake tu.
Kila siku mnaambiwa Lissu sio Lowassa lakini hamsikii, ole wenu muibe kura safari hii mtajuta.Kumbuka Lowassa alipanda daladala pia alikuwa anaitwa Rais, Rais!! Huyu naye anapitia njia hiyo hiyo!! KIFUATACHO tarehe 28/10/2020 KINAFURAHISHA!!
Tatizo lenu LUMUMBA hata kuigiza hamjuagi. Yaani andiko lako liko wazi kabisa (umetumwa) na linaonyesha ni jinsi gani CHADEMA wamewaumiza saana na wamewashika pabaya. Nikuulize maswali machache; Mbowe angewezaje kuzuia kuenguliwa kwa wagombea ambao mmewaengua kupitia vibaraka wenu TUME,POLISI na WAKURUGENZI?Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe...
Kuna Lissu na Lowassa. Lissu ni wa 2020 na Lowassa alikuwa 2015. Tunaongea habari za Lissu.Kumbuka Lowassa alipanda daladala pia alikuwa anaitwa Rais, Rais!! Huyu naye anapitia njia hiyo hiyo!! KIFUATACHO tarehe 28/10/2020 KINAFURAHISHA!!
Nimesikiliza hotuba zote za lisu zinaeleweka hakuna mapungufu kama wewe unavyodai lissu yupo makini na uhakika na mambo anayozungumza maamuzi yote ya tume yanatolewa na rais ipo wazi ufisadi unamtesa MagufuliMatatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe....
Ndo anavyowadanya na kujifariji kirahisi hivyo! Lissu hatoweza kufanya chochote !.watanzania sio wajinga ,kukubali kuingizwa barabarani!. Atakachokipata atamsimulia Amsterdam!Kila siku mnaambiwa Lissu sio Lowassa lakini hamsikii, ole wenu muibe kura safari hii mtajuta.
Tena Lowassa alikuwa smart zaidi kuliko huyu msaliti. Juzi amehenyeshwa masaa 9 anapigwa jua na mbu pale Kibaha! Then you are saying he is very smart than Lowassa!?! Are you serious???!!!Kila siku mnaambiwa Lissu sio Lowassa lakini hamsikii, ole wenu muibe kura safari hii mtajuta.
Huyo Lowassa hata kuongea alikuwa hajui sijui huo u smart wake umeutoa wapi?!Tena Lowassa alikuwa smart zaidi kuliko huyu msaliti. Juzi amehenyeshwa masaa 9 anapigwa jua na mbu pale Kibaha! Then you are saying he is very smart than Lowassa!?! Are you serious???!!!
Mnajidanganya kuiba kura halafu mnadhani mambo yataenda kama zamani, mtajuta, this time the whole world is watching.Ndo anavyowadanya na kujifariji kirahisi hivyo! Lissu hatoweza kufanya chochote !.watanzania sio wajinga ,kukubali kuingizwa barabarani!. Atakachokipata atamsimulia Amsterdam!
Hivi mnaweza kushinda majimbo 264 nyie ukiacha tu Urais? Kwa chama kipi mlichonacho ! Mwentekiti wenu tu watu hawamtaki huko hai!Mnajidanganya kuiba kura halafu mnadhani mambo yataenda kama zamani, mtajuta.