Mboga imeharibika...

huku kwetu tushazoea jumamosi lazima umeme ukatwe hadi saa moja....

na katikati yawiki lazima umeme ukatwe siku moja mchana kutwa.....

hapo bado zile zima kata zima kata....

Utakuwa waishi jirani na mimi, hiyo ratiba ndo hiyohiyo! Kuna siku niliumwa sikwenda kazini aisee...niliboekaje nyumbani!!!!!!!!!!!!!!!
 
Utakuwa waishi jirani na mimi, hiyo ratiba ndo hiyohiyo! Kuna siku niliumwa sikwenda kazini aisee...niliboekaje nyumbani!!!!!!!!!!!!!!!

Mpwa si ulipaswa uwe hospitali?
 
Mkuu kuepukana na kadhia za hao wapuuzi kama unejenga huko basi tafuta chanzo mbadala cha nishati hiyo...

Kutegemea umeme wa Tanesco tu ni shida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…