Mbeya: Kumng'oa Sugu ubunge kunahitaji akili kubwa pressure ya Wanambeya RC Chalamila hataiweza Malumbano ya hoja yamedhihirisha

Hilo ni dhahiri mwenyewe analifahamu pia.
 
Jana mkuu wa mkoa alikuwa anatutemea mate mengi tuliokaa siti za mbele.....CCM nawaoma mnavyowish Mbeya iwe Dodoma ili mtuburuze....Mbeya ni vichwa.
 

Mimi sina hakika hata kama unaelewa maana ya "elimu"

I am sure wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini kuwa "mtu kuelimika" ni kitendo cha kuhudhuria darasani na kupewa karatasi iitwayo "cheti"

If you think so, then, I am sorry to disappoint you that, you're absolutely wrong!!
 
Huyu ndio wale mbumbumbu aliowazungumzia baba Askofu!
 
Huku ndio kuunga mkono juhudi kunakohitajika bila kuhamia CCM na kulitwisha taifa gharama za kurudia uchaguzi au kufanya uhuni kama Joshua wa Arumeru.

Dr Tulia njoo ugombee Kawe hapo Mbeya umeshafeli.

Source Milard ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Hakuna cha kupima upepo wala nini!! Chaguzi za siku hizi sio chaguzi ni uchafuzi, wanaotaka wao ndio anashinda sio kwenye sanduku la kura!!! Mwaka kesho sidhani kama kuna mpinzani atarudi mbungeni, sio kwamba hawatapigiwa kura bali hawatatangazwa kamwe!!!! Kwanzanuhuni utakao fanyika we mwenyewe una susia!! Kwa sasa hakuna demokrasia Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…