Mbelezzzzzzzz Tembeaaaaaaa

Halafu huyu dogo mbona kama anatokea kwenye matukio mengi sana!

ushawahi muona wapi?...utakua umemkomfyuzi na yule mwingine anayefakamia nguna!
 
ushawahi muona wapi?...utakua umemkomfyuzi na yule mwingine anayefakamia nguna!
hahaha!aisee inawezekana ila ukimwangalia kwa makini anafanana na yule anayekojolea msosi ukiwa jikoni ama wale waliokuwa wanasakata muziki kijijini!
 
Huyu kama niliwahi kumuona mbagala ameshika kitabu fulani hivi...Huyu mkorofi sana ametuletea matatizo makubwa sana nchi hii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…