Kwanza, jifunze kuhusu masoko na namna ya kutafuta wateja na kumhamasisha kununua bidhaa yako kabla hajakupigia simu!! Yaan kama hapa ulitakiwa mtu akikupigia anatoa order na siyo kuanza kukuuliza nini hiki? Cha kazi gani?? Kinapatikana wapi?? Bei gani?? Usumbufu mtupu!!
NNJ7
Sent from my SHW-M250S using
JamiiForums mobile app