Mbatia hamwezi Lyatonga!
2015 alibebwa Mbatia alibebwa na Lowassa!
Ni mwenzao , mwanaume surualichadema wabaya sana
Kawe walimpelekea mbatia mwanamke halima mdee akampiga chini
Chadema hao hao wanampelekea tena mwanamke shupavu kiwelu kushindana na mbatia vunjo
Kwanini chadema wanapenda kumshindanisha sana mbatia na wanawake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwenzao?Ni mwenzao , mwanaume suruali
Kama kumsukuma mlevi, au maharage ya Mbeya