Jamaa nilimkubali kwenye ile Filamu ya train to bunsan Lakini nilikumbali kwenye out of laws 2017 Alivyocheza kama Polisi asiyeogopa chochote huyu mwamba anakono zito mzee kofi Alimpiga muuni mmoja kofi mpaka akazima [emoji1787][emoji1787]
Nikamkuta tena kwenye Film Police Gang and Devil 2021 Alicheza kama don Alafu kuna kuna muuaji alijarib kumuua kilichomkuta Sasa Sema aliponyoka Ikabidi Jamaa ashirikiane na polisi kumpata muuaji yaani kundi la wahuni na polisi wanashikiriana kumkata muuaji Ebwana Wee Hii muvi aliua sana huyu na staili ya kibabe yaani hakuna kucheka humu Ni ubabe Tu
Ma Dong seok ni moja kati ya korean actor ninao wakubali sana ,Nampa Rate 1/10
Train to Busan...hii muv niliibatishaga kuiona mahali na uyu jamaa namkumbuka bana aliumwa na wale niseme sjui 'mazombi' ndo ukawa mwisho wake ila alpambana Sana akamuacha mkewe na mimba... dah Sasa watazamaji walisikitika kweli jamaa kuondoka.