Yanaweza kuwa ya kutunga lkn sio kwa hiyo sababu ya hizo tick 2 unayosema. Kama kwenye group wote mpo active hizo tick mbili zinatokea na hata wote wakisoma msg, tick zinabadilika zote kuwa blue.
Mara nyingi kwenye groups tulizonazo ni ngumu kukuta watu wote wapo active ndio mana hilo halionekani mara kwa mara.