Mimi sidhani kama kujamba ni tatizo kama wengi wanavyofikiria, lakini labda tu nishauri kwamba ukiwa upo kwenye watu wengi na ukajisikia kujamba basi ni vema na itapendeza zaidi kama utajamba ushuzi usio na harufu Kali sana hata kama itakuwa ni kwa sauti kubwa, na kama uko peke yako hapo ndipo sasa unaweza kutoa ushuzi wenye harufu Kali yoyote ile uitakayo. Hii tabia ya kutoa ushuzi mkali bila kujali umekaa na watu wengi na wa aina gani kusema kweli haipendezi na ni jambo lisilo na staha kabisa. Mtu mstaarabu huangalia na kuchunguza kwanza mazingira aliyopo na ndipo huruhusu aina gani ya kijambo au ushuzi aitoe kulingana na mazingira aliyopo.Bosi mara nyingi akiwa kimya ofisini kwake
akibanwa na ushuzi anauachia kwa nguvu zote
Kijambio kikazoea
Siku moja yuko ktkt mkutano
baada ya lunch mchana
akapitiwa na ka usingizi,sasa kutokana na mazoea yake ya kujambajamba
usguzi ukamjia,nadhani alikuwa anaota yuko ofisini
akajikamua kwa nguvu,pyuuuuuu
watu eeeeeeeeee
akashtuka toka usingizini
dahhhhh,kulikuwa na wapemba wakampongeza sana
wakimhabarisha
baada ya mkutano chochote anachohitaji
atalipiwa.:becky:
Mimi sidhani kama kujamba ni tatizo kama wengi wanavyofikiria, lakini labda tu nishauri kwamba ukiwa upo kwenye watu wengi na ukajisikia kujamba basi ni vema na itapendeza zaidi kama utajamba ushuzi usio na harufu Kali sana hata kama itakuwa ni kwa Sauti mkubwa, na kama uko peke yako hapo ndipo sasa unaweza kutoa ushuzi kwenye harufu Kali yoyote ile uitakayo. Hii tabia ya kutoa ushuzi mkali bila kujali umekaa na watu wengi na wa aina gani kusema kweli haipendezi na ni jambo lisilo na staha kabisa. Mtu mstaarabu huangalia na kuchunguza kwanza mazingira aliyopo na ndipo huruhusu aina gani ya kijambo au ushuzi aitoe kulingana na mazingira aliyopo.

Suala la kuamua aina gani ya harufu ya ushuzi uitoe na kwa kiwango gani, si jambo la kuanza kupoteza muda kuelekezana jinsi ya kufanya. Ungeniambia labda unataka maelekezo kuhusu namna ya kutoa kinyesi kinachonuka sana, kawaida au kisichonuka kabisa, hapo angalau ninaweza kusema kuwa jambo hilo lina ugumu wake kidogo coz mimi mwenyewe nishajaribu mara kadhaa bila mafanikio sana, lakini hili la kuamua kujamba aina gani ya harufu ya ushuzi, is within your ability to do it unless otherwise you are not serious in trying to do it with the intent of achieving positive results.mkuuu naomba unielekeze namna ya kutoa ushuzi wenye unyunyu mkali ama uliopoa kulingana na mazingira...mana nijuavyo mm huwezi kujua km hili bomu nikilitoa litakuwa kali ama la utulivu ni hadi ulitoe
Samhani! Mi sikujua kuwa kuna watu wanaweza ku control kiwango cha harufu ya ushuzi
Mimi sidhani kama kujamba ni tatizo kama wengi wanavyofikiria, lakini labda tu nishauri kwamba ukiwa upo kwenye watu wengi na ukajisikia kujamba basi ni vema na itapendeza zaidi kama utajamba ushuzi usio na harufu Kali sana hata kama itakuwa ni kwa sauti kubwa, na kama uko peke yako hapo ndipo sasa unaweza kutoa ushuzi kwenye harufu Kali yoyote ile uitakayo. Hii tabia ya kutoa ushuzi mkali bila kujali umekaa na watu wengi na wa aina gani kusema kweli haipendezi na ni jambo lisilo na staha kabisa. Mtu mstaarabu huangalia na kuchunguza kwanza mazingira aliyopo na ndipo huruhusu aina gani ya kijambo au ushuzi aitoe kulingana na mazingira aliyopo.
Mimi sidhani kama kujamba ni tatizo kama wengi wanavyofikiria, lakini labda tu nishauri kwamba ukiwa upo kwenye watu wengi na ukajisikia kujamba basi ni vema na itapendeza zaidi kama utajamba ushuzi usio na harufu Kali sana hata kama itakuwa ni kwa sauti kubwa, na kama uko peke yako hapo ndipo sasa unaweza kutoa ushuzi wenye harufu Kali yoyote ile uitakayo. Hii tabia ya kutoa ushuzi mkali bila kujali umekaa na watu wengi na wa aina gani kusema kweli haipendezi na ni jambo lisilo na staha kabisa. Mtu mstaarabu huangalia na kuchunguza kwanza mazingira aliyopo na ndipo huruhusu aina gani ya kijambo au ushuzi aitoe kulingana na mazingira aliyopo.
Kujamba si tatizo.ila kujamba mbele za watu si adabu na wala si vema.. Hata jandon wanafundsha kuwa.. Ukijisikia kujamba nenda pemben.jamba ila si mbele.za watu
Suala la kuamua aina gani ya harufu ya ushuzi uitoe na kwa kiwango gani, si jambo la kuanza kupoteza muda kuelekezana jinsi ya kufanya. Ungeniambia labda unataka maelekezo kuhusu namna ya kutoa kinyesi kinachonuka sana, kawaida au kisichonuka kabisa, hapo angalau ninaweza kusema kuwa jambo hilo lina ugumu wake kidogo coz mimi mwenyewe nishajaribu mara kadhaa bila mafanikio sana, lakini hili la kuamua kujamba aina gani ya harufu ya ushuzi, is within your ability to do it unless otherwise you are not serious in trying to do it with the intent of achieving positive results.
Samahani!Jokes za kifutuhi za aina hii hazinivutii!Too low am afraid!Bosi mara nyingi akiwa kimya ofisini kwake
akibanwa na ushuzi anauachia kwa nguvu zote
Kijambio kikazoea
Siku moja yuko ktkt mkutano
baada ya lunch mchana
akapitiwa na ka usingizi,sasa kutokana na mazoea yake ya kujambajamba
usguzi ukamjia,nadhani alikuwa anaota yuko ofisini
akajikamua kwa nguvu,pyuuuuuu
watu eeeeeeeeee
akashtuka toka usingizini
dahhhhh,kulikuwa na wapemba wakampongeza sana
wakimhabarisha
baada ya mkutano chochote anachohitaji
atalipiwa.:becky:
Mimi sidhani kama kujamba ni tatizo kama wengi wanavyofikiria, lakini labda tu nishauri kwamba ukiwa upo kwenye watu wengi na ukajisikia kujamba basi ni vema na itapendeza zaidi kama utajamba ushuzi usio na harufu Kali sana hata kama itakuwa ni kwa sauti kubwa, na kama uko peke yako hapo ndipo sasa unaweza kutoa ushuzi wenye harufu Kali yoyote ile uitakayo. Hii tabia ya kutoa ushuzi mkali bila kujali umekaa na watu wengi na wa aina gani kusema kweli haipendezi na ni jambo lisilo na staha kabisa. Mtu mstaarabu huangalia na kuchunguza kwanza mazingira aliyopo na ndipo huruhusu aina gani ya kijambo au ushuzi aitoe kulingana na mazingira aliyopo.
Watoto wa JF wakijadili:banghead:[/QUOTE
hatare sana asee, loh
Suala la kuamua aina gani ya harufu ya ushuzi uitoe na kwa kiwango gani, si jambo la kuanza kupoteza muda kuelekezana jinsi ya kufanya. Ungeniambia labda unataka maelekezo kuhusu namna ya kutoa kinyesi kinachonuka sana, kawaida au kisichonuka kabisa, hapo angalau ninaweza kusema kuwa jambo hilo lina ugumu wake kidogo coz mimi mwenyewe nishajaribu mara kadhaa bila mafanikio sana, lakini hili la kuamua kujamba aina gani ya harufu ya ushuzi, is within your ability to do it unless otherwise you are not serious in trying to do it with the intent of achieving positive results.
mkuuu naomba unielekeze namna ya kutoa ushuzi wenye unyunyu mkali ama uliopoa kulingana na mazingira...mana nijuavyo mm huwezi kujua km hili bomu nikilitoa litakuwa kali ama la utulivu ni hadi ulitoe