jrmlaurence Member Joined Dec 2, 2010 Posts 80 Reaction score 57 May 21, 2015 #1 Nauza Mayai ya Kware Tshs 12,000/= kwa tray la mayai 30. Contacts: 0718 333 913
WISE BOY JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 782 Reaction score 244 May 21, 2015 #2 Hukuwasikia TFDA waliposema mayai hayo hayana manufaa yoyote kiafya? Labda utapata wateja, ngoja waje.
Hukuwasikia TFDA waliposema mayai hayo hayana manufaa yoyote kiafya? Labda utapata wateja, ngoja waje.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,973 Reaction score 30,154 May 21, 2015 #3 WISE BOY said: Hukuwasikia TFDA waliposema mayai hayo hayana manufaa yoyote kiafya? Labda utapata wateja, ngoja waje. Click to expand... Yatafika Mpaka 6,000/- kwa tray!
WISE BOY said: Hukuwasikia TFDA waliposema mayai hayo hayana manufaa yoyote kiafya? Labda utapata wateja, ngoja waje. Click to expand... Yatafika Mpaka 6,000/- kwa tray!