A ASAKI Member Joined Jul 7, 2014 Posts 28 Reaction score 2 Jan 24, 2015 #1 Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza. Msaada tafadhali
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 752 Reaction score 154 Jan 24, 2015 #2 ASAKI said: kwa wajasiriamali. natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. nipo mwanza. msaada tafadhali Click to expand... Tuko wengi ( Mwanza ) kama ukifanikiwa nami nijurishe maana nami nayatafuta kwa udi na uvumba
ASAKI said: kwa wajasiriamali. natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. nipo mwanza. msaada tafadhali Click to expand... Tuko wengi ( Mwanza ) kama ukifanikiwa nami nijurishe maana nami nayatafuta kwa udi na uvumba
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Jan 24, 2015 #3 Mnahitaji kiasi gani?
Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 369 Jan 24, 2015 #4 TO2004 said: Mnahitaji kiasi gani? Click to expand... mimi natafuta vifaranga wa kware naweza kupata?
TO2004 said: Mnahitaji kiasi gani? Click to expand... mimi natafuta vifaranga wa kware naweza kupata?
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Jan 24, 2015 #5 Upo mkoa gani mkuu?
A ADK JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 2,236 Reaction score 810 Jan 24, 2015 #6 Kwa dar ni rahisi kuna jamaa ana mayai ,vifaranga sina contact zake ils nweza kukuelekeza
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Jan 24, 2015 #7 Kuna mama mmoja ni mfugaji mzuri sana kiukweli amenisaidia mpaka kufika hapa kwa yeyote anaehitaji vifaranga wa kware aseme nimpm namba ya huyu mama
Kuna mama mmoja ni mfugaji mzuri sana kiukweli amenisaidia mpaka kufika hapa kwa yeyote anaehitaji vifaranga wa kware aseme nimpm namba ya huyu mama
K Kinombo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2007 Posts 331 Reaction score 34 Jan 24, 2015 #8 Kuku wa Kabanga said: mimi natafuta vifaranga wa kware naweza kupata? Click to expand... Nina mayai ya mbegu Kware na kuku kienyeji +255713229933 au +255785738738..OUT OF TOWN POULTRY FARM..NAWEZA KUKUTUMIA KWA FASTJET AU BASI?
Kuku wa Kabanga said: mimi natafuta vifaranga wa kware naweza kupata? Click to expand... Nina mayai ya mbegu Kware na kuku kienyeji +255713229933 au +255785738738..OUT OF TOWN POULTRY FARM..NAWEZA KUKUTUMIA KWA FASTJET AU BASI?
georgei Senior Member Joined Oct 14, 2009 Posts 110 Reaction score 8 Jan 24, 2015 #9 Nitafute 0712134181
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 752 Reaction score 154 Jan 25, 2015 #10 TO2004 said: Upo mkoa gani mkuu? Click to expand... Nipo Mwanza mkuu
A ASAKI Member Joined Jul 7, 2014 Posts 28 Reaction score 2 Jan 25, 2015 Thread starter #11 nikipata mayai au kware wenyewe ni sawa. naomba contacts za huyu mtu
N nashon1 Member Joined Jan 30, 2015 Posts 8 Reaction score 1 Jan 30, 2015 #12 kama unahitaji vifaranga wa kware pamoja na mayai yake, tuwasiliane kwa namba +255789 411114
Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 369 Mar 10, 2015 #13 Jmn wapi naweza kupata zile tray ndogo za kuweka mayai ya kware?
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,086 Reaction score 1,082 Mar 10, 2015 #14 ASAKI said: Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza. Msaada tafadhali Click to expand... Nenda Buguruni, kituo cha basi za daladala ziendazo Muhimbili, lipo duka la madawa ya binadamu uliza ndani wanayo kiasi chochote unachotaka.
ASAKI said: Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza. Msaada tafadhali Click to expand... Nenda Buguruni, kituo cha basi za daladala ziendazo Muhimbili, lipo duka la madawa ya binadamu uliza ndani wanayo kiasi chochote unachotaka.
D Deo Benjamin JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 308 Reaction score 92 Mar 12, 2015 #15 ASAKI said: nikipata mayai au kware wenyewe ni sawa. naomba contacts za huyu mtu Click to expand... Kama unataka mayai ya kwale na vifaranga vya kwale piga number hii 0654 163784
ASAKI said: nikipata mayai au kware wenyewe ni sawa. naomba contacts za huyu mtu Click to expand... Kama unataka mayai ya kwale na vifaranga vya kwale piga number hii 0654 163784
D Deo Benjamin JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 308 Reaction score 92 Mar 12, 2015 #16 ASAKI said: Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza. Msaada tafadhali Click to expand... Piga number hii 0654 163784 kwa mahitaji ya mayai ya kwale na vifaranga wa kwale
ASAKI said: Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza. Msaada tafadhali Click to expand... Piga number hii 0654 163784 kwa mahitaji ya mayai ya kwale na vifaranga wa kwale
Ansah Miles JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 392 Reaction score 175 Mar 12, 2015 #17 nashon1 said: kama unahitaji vifaranga wa kware pamoja na mayai yake, tuwasiliane kwa namba +255789 411114 Click to expand... Sawa ndugu
nashon1 said: kama unahitaji vifaranga wa kware pamoja na mayai yake, tuwasiliane kwa namba +255789 411114 Click to expand... Sawa ndugu