Haroonricher
Member
- Jan 15, 2020
- 37
- 19
Aksante sana kwa ushauri mzuri mkuu, nitaufanyia kazi๐๐พMkuu, kama unapenda kuwekeza pesa yako wekeza kwenye mradi wa kuku uliokuwa na uzoefu nao japo kidogo
"Experience is good teacher"Aksante sana kwa ushauri mzuri mkuu, nitaufanyia kazi๐๐พ
Huo ni ukweli usiopingika mkuu naamin nitaweza"Experience is good teacher"
Mkuu hiyo ni kubwa sana Mimi nikipata milioni 10 tu nimeshatoka, hujasema wewe ni mwenyeji wa wapi ila kama unayo idea ya biashara ya nguo hapa Mwanza inalipa. Cha kufanya wewe tafuta frame pale pamba road town then ungana na wale wafanyabiashara wanaoenda kununua mizigo Nairobi hope utafanikiwa. Nimeona watu wengi walianza kama machinga na hawakua na mtaji mkubwa kama wewe but wametoboa na wao sasahivi wanamilika frame hapo mjini.
Frame zipo kuanzia milioni moja na nusu hadi milioni nne kwa mwaka. Ila frame nzuri na kwenye mzunguko mkubwa wa pesa ni hapo pamba road japo maduka ni mengi ila location itakulipa boss.Dadavua kidogo, mwenendo wa biashara na gharama za vitu kama frame maeneo hayo.
Alexander
NakaziaMkuu biashara ya nafaka haitakuacha vibaya.
Mkuu kama imani yako inaruhusu fuga mbuzi katoliki. Hutajuta kama utawashirikisha na madaktari wa mifugo. Mimi sifanyi huo ufugaji ila kwa sasa nakusanya mtaji walau 2M nianze kidogo.
Shughuli nyingine ni kilimo cha parachichi ambacho hicho itakubidi uwe msahimilivu wa walau miaka 3 na kuendelea kwa sababu katika muda huo wewe utakua wa kuhudumia shamba na kulipa vibarua so uvumilivu ni muhimu kabla hujaanza kupata output.
Pia katika kilimo hapohapo jaribu kufanya research kilimo cha alizeti na maharage kitu ambacho ndio nafanyia kazi kwa sasa. While am on my middle twenties hizo ndio shughuli nafikiria kufanya wakati bado najikusanya kusanya.
Regards!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu nieleweshe hapo unapojiuzia halafu unapelekea duka la nafaka. Unawauziaje wa maduka ya nafaka kiasi kwamba inaweza kuwa faida zaidi. Nifafanulie mkuuKwenye kilimo ajipange ila kinacholipa maharage maana ni miezi miwili 2 unavuna.
Fikiria
1.Unalima mwenyewe maharage ukishavuna unajiuzia mwenyewe
2.ukishajiuzia unayapeleka kwenye duka lako la nafaka unauza reja reja aisee mika 5 haukamatiki
Nb๐esa ya shamba na duka usichanganye zinajitegemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni Nipo Mbeya lakini suala la fursa za biashara hata kama itakuwa ni mkoa wowote mi naifuata hiyo fursa..kwahiyo mwanza siyo mbali ninaweza kwenda nikafanya research kabla sijaachana na ajira yangu ya awali ili nipate pa kuanzia..Mkuu hiyo ni kubwa sana Mimi nikipata milioni 10 tu nimeshatoka, hujasema wewe ni mwenyeji wa wapi ila kama unayo idea ya biashara ya nguo hapa Mwanza inalipa. Cha kufanya wewe tafuta frame pale pamba road town then ungana na wale wafanyabiashara wanaoenda kununua mizigo Nairobi hope utafanikiwa. Nimeona watu wengi walianza kama machinga na hawakua na mtaji mkubwa kama wewe but wametoboa na wao sasahivi wanamilika frame hapo mjini.
Shukrani sana sana mkuu kwa ushauri nitaufanyia kazi..pia kama kuna mawazo ya ziada naomba kuendelea kunifuatilia ili kunipa hamasa zaidi nifanikishe lengo langu la kujiajiri..Aksante sana mkuuMkuu sio lazima ufanye kitu unachofahamu pekee, unaweza kfanya tafiti na kuingia kwenye biashara yeyote kikubwa ni taarifa muhimu za hiyo biashara na kujitolea wewe binafsi katika kuhakikisha lengo lako linatimua.
Mfano sikuwa kuwa mkulima ila nimelima hekari 20 za mahindi kikubwa ni kuwa karibu na kazi yako. "watu ni muhimu sana ili ufanikiwe lakini usimuamini mtu yeyote". yangu ni hayo
Biashara ya nafaka, kwamba niwe na duka la kuuza vyakula au niwe na aina flani tu zao la nafaka ambalo ndilo ntakomaa nalo?? Kwa mfano Mahindi au Maharage au Mchele au nipige vyote mixer mkuu please naomba nielekeze vizuri mana nipo Mbeya na nafaka zipo sanaMkuu biashara ya nafaka haitakuacha vibaya.