Hivi kumweka waziri kitanzini sio kumuweka bosi wake? Hivi mawaziri wote wakipigwa kitanzi, si ndio serikali yote jamani? Na kama serikali yote, si na Rais yumo? Au ndio mbinu ya kumtesa JK baada ya kumkosa katika kumvua kofia ya Uenyekiti wa chama?
Huko ndio kujinyonga kama haujawahi kusikia!!!!