Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
Dear chotti, hukuwa na sababu ya kujibu kwa lugha hiyo uliyotumia. Lugha nzuri tu ungemuelimisha vema. Anyway amepata jibu la swali lake. Kindly, am asking you not to use the same language to some one else....if you don't mind.dumb ass hamuangalii televisheni na vipindi vya uchaguzi mnasubiri mje mlalamike na uongo wenu humu! stupid people lament while matured people speculate juzi kati hapa kawishe mkurugenzi wa maswala ya sheria nec alisema kwamba mawakala wote watapiga kura vituoni hapo hata kama hawakupangwa katika kituo husika that means in every general rule kuna exceptions sasa jitu linakurupuka eti bao lankono dumb ass u are thousand times em fanyeni ufatiti mabao ya mkono mnajipiga wenyewe kwa uduanzi
Dear chotti, hukuwa na sababu ya kujibu kwa lugha hiyo uliyotumia. Lugha nzuri tu ungemuelimisha vema. Anyway amepata jibu la swali lake. Kindly, am asking you not to use the same language to some one else....if you don't mind.
dumb ass hamuangalii televisheni na vipindi vya uchaguzi mnasubiri mje mlalamike na uongo wenu humu! stupid people lament while matured people speculate juzi kati hapa kawishe mkurugenzi wa maswala ya sheria nec alisema kwamba mawakala wote watapiga kura vituoni hapo hata kama hawakupangwa katika kituo husika that means in every general rule kuna exceptions sasa jitu linakurupuka eti bao lankono dumb ass u are thousand times em fanyeni ufatiti mabao ya mkono mnajipiga wenyewe kwa uduanzi
Okay, ila kwa Tanzania hapa kwetu wengi tunatofautiana uelewa na "standard" ya maisha. Ukikutana na swala kama hili unalikaushia tu. Ukimweleza vizuri utatengeneza furaha miongoni mwenu ila ukimjibu kwa lugha mbaya ni uadui tu ambao kwa namna moja haujengi my dear.i understand ila kuna mda inafika watanzabia tunajizomea wenyewe! kila kitu ni malalamiko tu! more than twenty threads humu people are lamenting on stuffs ambazo in actual sense ni utashi wa mtu tu anatakiwa afuatilie kwa kina and not making unnecessary noise, i might have used a bad language but gladly ujumbr kaupata inatia hasira thou
NEC ina mawakala kadhaa kwenye vituo vya kupigia kura. Watatakiwa kufika vituoni kwao mapema asubuhi. Cha kusikitisha ni kwamba karibu wote, wamepangwa kwenye vituo ambavyo hawajaandikishwa hapo... Je watapiga kura..??? ..
Kama una macho na akili, sina haja ya kufafanua zaidi
- SIFA ZA MSIMAMIZI WA KITUO/MSIMAMIZI MSAIDIZI WA KITUO
- Awe raia wa Tanzania.
- Awe mkazi wa Kata ambayo atafanyia kazi anayoomba.
- Asiwe Kiongozi/au mshabiki wa Chama cha Siasa.
- Awe mwadilifu na mtiifu.
- Awe na elimu ya Kidato cha nne au zaidi na anayeweza kusoma na kuandika vizuri.
- Awe na uwezo wa kuelewa vizuri Maelekezo ya Tume ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia kura.
Haijasema lolote juu ya alikojiandikishia..Kama una macho na akili, sina haja ya kufafanua zaidi
i understand ila kuna mda inafika watanzabia tunajizomea wenyewe! kila kitu ni malalamiko tu! more than twenty threads humu people are lamenting on stuffs ambazo in actual sense ni utashi wa mtu tu anatakiwa afuatilie kwa kina and not making unnecessary noise, i might have used a bad language but gladly ujumbr kaupata inatia hasira thou
acha kujiona kama wewe ndio unajua sanaaaa.sasa wewe unataka afuatilie wapi??
hapa JF kuna kila kitu hizo taarifa za habari na kwenye magazeti KWA asilimia kubwa huwa zinamwagwa hapa mapemaaaa jioni ndio unakutana nazo kwenye media.
kama ambavyo ww unejibu ndio kashapata majibu sasa ya swali lake na wasi wasi wake?