Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,982
Ngoja wataalam waje! Naamini kuna watu humu watakusaidiaHabari za muda huu....
Asante sana mzee wa Nyamuswa ikizu.Ngoja wataalam waje! Naamini kuna watu humu watakusaidia
Tuko pamoja mkuu. Mungu akutangulieAsante sana mzee wa Nyamuswa ikizu
Mkuu wewe si ulisema kwamba ulitema kitu(Tonsil Stones) mdomoni? Huenda hivyo vitu bado vipo ndio vinakuletea maumivu.
Nenda hospital Dr ndio aseme.Mbona sasa wataalam wanasema hakuna shida kwenye hivyo vidude
Nenda hospitali kaonane na daktari kitengo Cha Kifua kikuu na ukoma upate vipimo baada ya majibu nijuze nikuelekeze dawa.Mbona sasa wataalam wanasema hakuna shida kwenye hivyo vidude
Habari za muda huu.
Napata maumivu sana ninapovuta hewa ndani ( Breath in) kuna maumivu kama kichomi nayapata kwa upande wa mgongoni lakini ni kwa ndani nadhani ni mbavuni upande wa kulia. Yamedumu sasa kwa muda kama miezi 3. Sina historia ya kuumia au kupata ajali.
Naomba kujua kabla ya sijaenda Hosp kama kuna Inputs zozote
Mkuu nenda Hospitali ukapime na utumie dawa.Usipo pona na dawa za kizungu tuone sisi tunaotibu kwa dawa za asili ili tuweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.Habari za muda huu.