Salumu waliy
Member
- Jul 25, 2013
- 8
- 3
hahahaha mkuu unafaa uwe mwalimu utawanyoosha sana
hahahaha .......... ningewapiga mianzi mpaka wanyooke, halafu mkuu ID yako inaonyesha wewe ni mjanjaa kinoma noma!' mbona jukwaani kule sikuonagi.
hahaha nitakuja mkuu..nasuburi code 8/8 iwe activated..nitakuja kwa kasi sana
we tumia akili yako vizuri.. wewe sepa hakuna future wife hapo... kama unaona sasa akusikilizi fikiria miaka 50 ya ndoa kuishi na huyo mwanamke yatakuwaje ndoa si kuvaa shela na suti na sherehe kubwa ya kuchangiwa ... acheni kulilia shida
Achana nae inaonyesha fika hana time na wewe kinachotakiwa ni kufanya maamumuzi magumu [KUACHANA] Japo mwanzoni maumivu ya mapenzi yatakuwa makali ila utazoea na mwisho kusahau. Usipoteze muda wako kwa asie kupenda,bro.Jamani ma fellow members,
Nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana yani na anajua kabisa kuwa yeye ndo my future wife Mungu akitujaalia uzima but kaja kubadilika ghafla.
Ni kweli nlimkwaza kidogo but ni mambo za kuongea tu na kuwekana sawa lakn hataki hali yeye ashawahi kunikwaza nikamsamehe na nikasahau kabisa yani serious naumia sana maana hataki kusikia chochote kutoka kwangu.
Kunywa sumu ajue unateseka juu yake.
Ukifanikiwa rejesha mrejesho