Sina nishapimaKapime n U.T.I na ukikutwa nayo choma sindano achana na azuma
Habari za muda huu Wana JF
Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno muda mrefu hii nahisi nikutokana na kubeba mizigo mizigo ila Hadi kufikia Sasa sio kiuno tuu balii napingili za UTI wa mgongo maeneo ya shingo pamoja na mishipa kiujumla,nikifanya kazi kidogo natoa jasho sana kunamdaa najihisi uchovu hatakama sijafanya kazi. Nilienda kupima kutokana na hizo dalili nikaambiwa siumwii kabisa nipo vizuri naombeni ushauri wenu wadau hii Hali inantesa sana mwili hauna nguvu kama mwanzo naombeni msaada
🙏🙏
Godoro ni tanfoam jipyahio ishu ya kuuma mgongo na shingo mara nyingi chanzo kuwa ni Godoro unalolalia litakuwa ni la mda mrefu kiasi kwamba limelainika mno tokana mgandamizo wa mwili..suluhisho ni kununua godoro jipya au kama vp geuza hilo godoro juu chini na chini juu itasidia kwa muda..godoro linatakiwa liwe gumu na lililonyooka bila mbonyeo pia tumia mto ili kubalansi kati ya shavu na mabega..kikubwa badili godoro