Je anakosa pumzi akishikwa na hicho kifua?kifua kinaambatana na makohozi au ni kikavu?tatizo hilo analo kwa muda gani?ameshawahi kuwa exposed na kemikali za aina zozote kwa mfumo wa moshi kwa mfano air pollution?ameshapima au kuchekiwa kama ana uzio wa chochote?
Hakosi pumzi, anapumua vizuri
wala hana kihozi , hata kama kikiwepo ni kile tu cha kawaida, ambacho mimi nawewe twa weza kukipata
awala haja exposed na kemikali zozote.
Kuchekiwa kama ana uzio wa chochote?__________Hapa sijakuelewa vizuri ulichoniuliza.
ila kama nilivyo tangulia kusema, ameishapima vipimo kama vya aina tatu
1. kipimo cha kifua
2.vipimo vya moyo aina mbili;
(a) kipimo hiki tulipewa kalasi ndefu hivi ya rangi kama ya pic yenye mistari ya draft, harafu inamichilizi inayoelekea kulia iayoshuka na kupanda, dakitari aliandika hivi,
simus bradyarch,
rate 50mm
std v4 v5 ninawezekana nikawa nimekosea si, unajua tena mwandiko
wa kiganga, unisamehe.
(b) kipimo cha pili ni cha echocardiography report
Dakitari amendika hivi; Nomal chambers, valves, Aotic root and PAs. Good LV- systohe function (ef 79%). no swA
in lait WS and IAs. Nomal iVS and pencanddww.
Dopplet parameters e/a' N , mv are N
peak Aortic Flow N oters NO PAH
colour Doppler . No any valvulr regurgitra....../shuats
conclusion Normal Echo
kwa upande wa dawa aliziandikiwa ni: Pirsec
Tramadol 50mg po bd 5 kwa 7
shida , hii anayo kama miaka minne.
Asanteni sana