Nawasalimu wote wana jf
Nina gari (hiace) ambayo nataka kuitumia kibiashara hapa jikon Dar
Naomba ushauri je?!! Naweza kuitumia katika biashara gan jijijin yenye faida atleast kusukuma haya maisha??
NB: Gari hili mali binafsi yani sipeleki hesabu kwa boss
Kila ushauri ntapokea na kuufanyia kazi