Matukio ya Siasa ...

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,276
Reaction score
7,691
Wadau,

Baada ya kuvutana sana na kuumiza vichwa katika mijadal mipya iliyojitokeza weekend hii, nadhani kuna haja ya kupumzisha vichwa kidogo kwa kufanya quiz ya matukio ya hivi karibuni ya siasa za hapa nchini.

Lengo ni kuwafanya wadau wa jukwaa la siasa wa "take it easy" wakati wa weekend wakijiandaa kwa mikikimikiki ya wiki ijayo na vilevile kujikumbusha mambo mawili matatu ya jukwaa la siasa.

Kama kuna mdau mwingine quiz ya swali la siasa inaloweza kuwafanya wadau wapumzishe akili tafadhali pia weka hapa.

Jaribu kumatch item from column I with column II

1. “International Figure“
A. Lusinde
2. Mzee wa Bonafide Geniune
B. Nyani Ngabu
3. Sitaki siasa uchwara
C. Hamis Kigwangwalah
4. Kudadadeki...
D. Sugu
5. Miafrika Ndivyo Ilivyo
E. Zitto
6. “Huyu ni sisimizi“
F. Pasco
7. “ Kama huna nauli ya pantoni piga mbizi“
G. Josephine Mushumbusi
8. 1994-1998: Self employment - Celebrity
H. Magufuli
9. Mzee wa vitumbua
I. Kafulila
10. “Man from nowhere“
J. Rostam
 
Msimamisheni na kumfukuza lwakatare kwanza amewachafua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…