JOSEPH GELARD CHIPA
Member
- Mar 14, 2019
- 10
- 1
Asante kaka kwa ushauriHadi sasa umesha proove failure kwenye hayo masomo sijui kwanini unakomalia huko huko.???
Utaenda Form six utaambulia Principle moja utakuja tena kusema jamani nisome Diploma ya nini.
Nakushauri Soma Arts tuu.
Siyakukothamela Sonini na nini
Asante kaka kwa ushauri
Kwaiyo kaka kwa matokeo niliyo yapata kuna posibility ya kuchaguliwa ayo masomo ya art? Na ni combination ipi unanishauri niendeAll the best kijana. Soma Arts. Ukimaliza six sisi kaka zako tutakuambia usomee nini
Siyakukothamela Sonini na nini
Kama unandoto za kusoma masomo ya sayansi jaribu kuapply diploma course za afya, technologia au sayansi.Kwaiyo kaka kwa matokeo niliyo yapata kuna posibility ya kuchaguliwa ayo masomo ya art? Na ni combination ipi unanishauri niende
Ila kaka kwa CBG na uhakika naweza ingawa O-level chemistry nlikua mzembe afu kingine niliisha anzaga tuition ya CBG tokea mwezi wa pili mpaka sasa tupo mbali kwenye iyo comb inayo nisumbua sana ni chemistry na ndomana nikaanza kujitaalisha mapema na atilist mwanga na uona ila napenda sana kusikia walionitangulia mawazo yao siunajua kabla ya mimi mlianza najua mnajua mengi ndo mana ukanishauri ivi mdogo wako .nimekuelewa kakaSoma HGK, HGL
Sidhani kama CBG utatoboa. Labda maths ungepata D. Hata Uchumi huwezi kusoma HGE nayo huwezi. Tatizo maths
Siyakukothamela Sonini na nini
kaka kwa njia ya kuapply diploma kazi zake mbeleni nikama zipi? Na inawezekana kweli?Kama unandoto za kusoma masomo ya sayansi jaribu kuapply diploma course za afya, technologia au sayansi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kaka kwa ushauri wako mzuri nimefurahi sana atlist najua nini nifanye..MUNGU akubarikiKijana inaonekana focus yako ni AFYA Kama sijakosea maana PCB ndio ilikuwa first priority yako... Private utapata tu ila tayari umeshaonyesha kuwa chemistry inakusumbua hapo pagumu Kama mapema tu chemistry unaona ngum wakati katika CBG amini nakwambia chemistry ndio nyepesi Biology na Geography mambo mengi sana!! Utaenda advance utakomaa mwisho wa siku unakula ESS BAM unakula F maana maths inaonekana tatizo kwako.. nakushauri Kama lengo lako hasa lilikuwa upande wa Sayansi, omba kwenye kilimo, afya au technology test zali jitose omba NACTE diploma katika hizo kada!! Kama unataman sana kujitambulisha upo Form Five!! Punguza mambo mengi hasa yale yasio na umuhimu kwako Soma kwa juhudi sana ukiona mambo hayaelewek kabisa ndan ya Comb opt masomo mawili pigia msuli haswaa ili yaje yakupe principal pass ambazo sahv inaanzia D!!! Kila la kheri Kaka..
Typed Using KIDOLE
badilisha njia, fikiria unachotaka kua halafu uanzie cheti, ukianzia cheti inawezekana mambo yatakua rahisi zaidiNimepata matokeo aya ,geograph C,civics C,history C,kiswahili C,english C,biology C,chemistry D,physics,D,math F jumla na 3 ya kwanza 22 .na malengo yangu ilikua ni PCB au CBG ingawa kwa bahati mbaya imekua ivyo.najua serikalini aiwezekani kuchaguliwa je kwa mpangilio huu wa DDC ya PCB au CCD ya CBG nikienda private watanichukua? Aswa apo kwenye PCB mana ndo focus yangu..nisaidieni ndugu kwa mawazo
asante sana ndugu kwa ushauri wako..nimekuelewabadilisha njia, fikiria unachotaka kua halafu uanzie cheti, ukianzia cheti inawezekana mambo yatakua rahisi zaidi
Dogo serious nakushauri kitu itakachokufanya PCB hutokuja ukae uamin,Nimepata matokeo aya ,geograph C,civics C,history C,kiswahili C,english C,biology C,chemistry D,physics,D,math F jumla na 3 ya kwanza 22 .na malengo yangu ilikua ni PCB au CBG ingawa kwa bahati mbaya imekua ivyo.najua serikalini aiwezekani kuchaguliwa je kwa mpangilio huu wa DDC ya PCB au CCD ya CBG nikienda private watanichukua? Aswa apo kwenye PCB mana ndo focus yangu..nisaidieni ndugu kwa mawazo
Dooh!! Braza nimekuelewa xanaaaa yani ka upo kw kichwa changu..mi ntafanya ivyo kaka ntajitahidi kadri ya uwezo wangu na CBG naimani ntaweza..GOD BLESS YOU MY BROODogo serious nakushauri kitu itakachokufanya PCB hutokuja ukae uamin,
Kama o level hizo ndo grade zako je utaifikisha C ya physics ya a level? Staki kukatisha tamaa lakn nina evidence za kukwambia hivyo.
Nimesema hivyo nikimaanisha a level
C=60-69 na sidhan Kama hiyo ndo C ya o level
USHAURI WANGU. we nenda kasome hata hiyo CBG maana kidogo unaweza kutoboa Chemistry na Biology.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dooh!! Braza nimekuelewa xanaaaa yani ka upo kw kichwa changu..mi ntafanya ivyo kaka ntajitahidi kadri ya uwezo wangu na CBG naimani ntaweza..GOD BLESS YOU MY BROO
Asante kaka MUNGU akubariki..ndo focus yangu kwa sasa kusoma CBG maana wenye mawazo ka yako ndo wengi kuliko asante sana kwa kunipa mwangazaCBG komb zuri sana tu na haitakuumiza sana na rahisi kutoboa ila huyo mnyama unayotaka huyo utakufa vibaya.
Mi nikwambie ukweli nilikimbia hiyo komb tena nilifaulu vizuri na kupangiwa shule na serikali ila nilipiga chini nikakomaa na EGM ndo uwezo wangu.
Soma CBG
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo CBG unataka kusomea private school?Asante kaka MUNGU akubariki..ndo focus yangu kwa sasa kusoma CBG maana wenye mawazo ka yako ndo wengi kuliko asante sana kwa kunipa mwangaza