Vuta subira boy...mwaka jana walio ajiriwa waliipigiwa cmu kwa ajili ya kuanza kazi 4mnths baada ya kufanya oral.
Unaeza ukaona hata muda walochukua kufanya shortlist zao.
Ww kama ulifanya vizuri oral, kua na subira utatoboa tu.its just a matter of time.