Matokeo shule ya msingi Itizi

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
8,426
Reaction score
16,210
Wakuu naomba matokeo ya darasa la Saba ya mwaka 2012 kwa shule ya msingi Itizi iliyopo Mbeya vijijini
 
Mfumo wa kuweka matokeo ya darasa la saba kwenye website ulianza rasmi 2013. Na kwa darasa la nne ulianza rasmi 2015.
Tafuta njia nyingine ikibidi kwenda shule husika wanaweza kuwa na nakala (hardcopy) kwakuwa huwazinatumwa shuleni.

Sent by SangaweJr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…