S Suplier Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 110 Reaction score 9 May 11, 2013 #1 Kwa wale wenye info zaidi kuhusu kutorudiwa kwa matokeo na juu ya mgogoro uliopo kati ya necta na wizara kuhusu kutoendelea kwa kazi ya ku-upgrade tunaomba ushirikiano tafadhali
Kwa wale wenye info zaidi kuhusu kutorudiwa kwa matokeo na juu ya mgogoro uliopo kati ya necta na wizara kuhusu kutoendelea kwa kazi ya ku-upgrade tunaomba ushirikiano tafadhali
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,428 Reaction score 1,405 May 11, 2013 #2 nenda wizara ya elimu United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training yanapangwa upya
nenda wizara ya elimu United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training yanapangwa upya
A ADAM JUMA IDDY Member Joined May 5, 2013 Posts 11 Reaction score 1 May 11, 2013 #3 mcjali jamaani matokeo yako mbion kutoka....
Erick tryphone JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 387 Reaction score 84 May 11, 2013 #4 Ngoja tuvute subira.
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,428 Reaction score 1,405 May 11, 2013 #5 na ya kidato cha sita sijui vp au mpaka warud wa jkt
Dindai JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 933 Reaction score 1,668 May 11, 2013 #6 4m6 inabidi msubiri sana mpaka sisi tulio huku jkt tukirudi huko uraiani!
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,428 Reaction score 1,405 May 11, 2013 #7 Nyanda Dindai said: 4m6 inabidi msubiri sana mpaka sisi tulio huku jkt tukirudi huko uraiani! Click to expand... we huko jkt mnaruhusiwa kutumia internet,si hamruhusiw?
Nyanda Dindai said: 4m6 inabidi msubiri sana mpaka sisi tulio huku jkt tukirudi huko uraiani! Click to expand... we huko jkt mnaruhusiwa kutumia internet,si hamruhusiw?
S Suplier Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 110 Reaction score 9 May 11, 2013 Thread starter #8 Wizara tovutii au wizara ofisini? Sijakuelewa Danp36 said: nenda wizara ya elimu United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training yanapangwa upya Click to expand...
Wizara tovutii au wizara ofisini? Sijakuelewa Danp36 said: nenda wizara ya elimu United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training yanapangwa upya Click to expand...
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,428 Reaction score 1,405 May 11, 2013 #9 Suplier said: Wizara tovutii au wizara ofisini? Sijakuelewa Click to expand... tovuti
R RAIA MTANZANIA Member Joined May 3, 2013 Posts 7 Reaction score 0 May 11, 2013 #10 ucogope matokeo yanatoka hivi karibuni!!!
Erick zeph Stanley JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 647 Reaction score 73 May 11, 2013 #11 Danp36 said: we huko jkt mnaruhusiwa kutumia internet,si hamruhusiw? Click to expand... tunatumia mbona mi nko jkt Msange 823kj Tabora tunatumia
Danp36 said: we huko jkt mnaruhusiwa kutumia internet,si hamruhusiw? Click to expand... tunatumia mbona mi nko jkt Msange 823kj Tabora tunatumia