M Mutuyakongo Member Joined May 7, 2025 Posts 31 Reaction score 53 May 17, 2025 #1 Wadau na wapenzi wa Simba Sport club, Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa. Match itakua na goli 1 tu. Aman iwe nanyi..
Wadau na wapenzi wa Simba Sport club, Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa. Match itakua na goli 1 tu. Aman iwe nanyi..
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,786 Reaction score 55,518 May 17, 2025 #2 Ukweli mchungu Simba SC lazima mfungwe
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,828 Reaction score 119,000 May 17, 2025 #3 Mutuyakongo said: Wadau na wapenzi wa Simba Sport club, Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa. Match itakua na goli 1 tu. Aman iwe nanyi.. Click to expand... Kijana, amka kutoka kwenye usingizi wa mchana. Ni saa 8 kasoro sasa. Kajitahidi ukatafute mlo wa mchana. Huku niliko, jua linawaka balaa.
Mutuyakongo said: Wadau na wapenzi wa Simba Sport club, Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa. Match itakua na goli 1 tu. Aman iwe nanyi.. Click to expand... Kijana, amka kutoka kwenye usingizi wa mchana. Ni saa 8 kasoro sasa. Kajitahidi ukatafute mlo wa mchana. Huku niliko, jua linawaka balaa.
msomi uchwara JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 4,703 Reaction score 8,840 May 17, 2025 #4 Fainal haijawahi kuacha kua ngumu
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 35,818 Reaction score 47,138 May 17, 2025 #5 Mutuyakongo said: Wadau na wapenzi wa Simba Sport club, Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa. Match itakua na goli 1 tu. Aman iwe nanyi.. Click to expand... DR Mambo Jambo zile numerology zako zinasemaje ?...🤣🤣🤣
Mutuyakongo said: Wadau na wapenzi wa Simba Sport club, Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa. Match itakua na goli 1 tu. Aman iwe nanyi.. Click to expand... DR Mambo Jambo zile numerology zako zinasemaje ?...🤣🤣🤣
M Mutuyakongo Member Joined May 7, 2025 Posts 31 Reaction score 53 May 18, 2025 Thread starter #6 Huu uzi n batili, Nmegundua yalikua mawazo yangu na sio maono.
B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 659 May 18, 2025 #7 Mutuyakongo said: Wadau na wapenzi wa Simba Sport club, Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa. Match itakua na goli 1 tu. Aman iwe nanyi.. Click to expand... Jitahidi kula mlo kamili na uache kukwea mnazi
Mutuyakongo said: Wadau na wapenzi wa Simba Sport club, Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa. Match itakua na goli 1 tu. Aman iwe nanyi.. Click to expand... Jitahidi kula mlo kamili na uache kukwea mnazi
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 9,769 Reaction score 20,462 May 18, 2025 #8 PUMBAAAVU KABISA.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,828 Reaction score 119,000 May 18, 2025 #9 Mutuyakongo said: Huu uzi n batili, Nmegundua yalikua mawazo yangu na sio maono. Click to expand... Comrade Rage huko aliko atakuwa anacheka tu baada ya kusoma hiki ulicho kiandika hapa.
Mutuyakongo said: Huu uzi n batili, Nmegundua yalikua mawazo yangu na sio maono. Click to expand... Comrade Rage huko aliko atakuwa anacheka tu baada ya kusoma hiki ulicho kiandika hapa.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,967 May 18, 2025 #10 Mwanachama mwenzangu huu uzi wetu umekua mgumu mno,yani umekakamaa. Alafu Utopolo wanaudumisha unatrend.
Mwanachama mwenzangu huu uzi wetu umekua mgumu mno,yani umekakamaa. Alafu Utopolo wanaudumisha unatrend.