reserve list ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa kwa maana wamekidhi vigezo ila kutokana na ufinyu wa nafasi ama vyuo wanatakiwa kuvuta subira kidogo huku wakingoje nafasi zitakazopatikana!!
Nafasi zitapatikanaje??
Nafasi zitapatikana endapo wanafunzi ambao wameshapangiwa vyuo hawataripoti au watachelewa kuripoti kwa wakati!!
Mpaka tarehe 9 Novemba iwapo kutakuwa na mwanafunzi ambaye hatakuwa ameripoti basi nafasi yake itachukuliwa na @reserve
Zingatia:
Kama upo reserve yakupasa kuandika barua ya kuthibitisha kwamba endapo nafasi itapatikana upo tiyari kwenda!!