ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 262
- 115
labda anaogopa watu wataenda kuyavuna usiku[emoji23]Kwanini usiseme hapa kuwa yapo wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]labda anaogopa watu wataenda kuyavuna usiku[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asa kwann anaogopa kusema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Taja hata mkoa... Vocha zimekuwa ishu sana siku hizi... Umeamua kuluanzisha hapa, limalize hapa hapaPiga simu mkuu
Wewe ni dalali au mteja?Taja hata mkoa... Vocha zimekuwa ishu sana siku hizi... Umeamua kuluanzisha hapa, limalize hapa hapa
We kwako mteja una m define vipi!??Wewe ni dalali au mteja?
Kama ni mteja vocha tu inakuwa shida,je hela ya matikikiti itakuwaje?
Akili zingine bhana [emoji23] [emoji23]Wewe ni dalali au mteja?
Kama ni mteja vocha tu inakuwa shida,je hela ya matikikiti itakuwaje?