Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,755 Reaction score 47,123 Sep 5, 2023 #1 Match imemalizika muda mchache uliopita Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa Prisons ya Mbeya kuifunga Kipanga ya Nchini Zanzibar kwa goli 5 kwa 2.
Match imemalizika muda mchache uliopita Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa Prisons ya Mbeya kuifunga Kipanga ya Nchini Zanzibar kwa goli 5 kwa 2.
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 9,009 Reaction score 33,554 Sep 5, 2023 #2 Kwa mahesabu ya krosi matiplikesheni maana yake prison ni wazuri kuliko makolo sio?
moi wa kitaa JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 1,016 Reaction score 1,016 Sep 5, 2023 #3 Kambaku said: Kwa mahesabu ya krosi matiplikesheni maana yake prison ni wazuri kuliko makolo sio? Click to expand... Exactly uko vyedi mkuu
Kambaku said: Kwa mahesabu ya krosi matiplikesheni maana yake prison ni wazuri kuliko makolo sio? Click to expand... Exactly uko vyedi mkuu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,565 Reaction score 138,540 Sep 5, 2023 #4 Kuna timu imefanya mpaka sherehe baada ya kuwafunga hao Kipanga eti!!
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,393 Reaction score 10,153 Sep 5, 2023 #5 Kwaio Prison imepata 5 na Yanga wanapataga 5... Hivyo, Yanga = Prison Conclusion: Utopolo ni Level za Prison..! Mwl wa Matheee .. hapa ni Wapi.?
Kwaio Prison imepata 5 na Yanga wanapataga 5... Hivyo, Yanga = Prison Conclusion: Utopolo ni Level za Prison..! Mwl wa Matheee .. hapa ni Wapi.?
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,600 Reaction score 9,559 Sep 5, 2023 #6 Naskia prison waomba match nyingine na cosmopolitan.
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,755 Reaction score 47,123 Sep 5, 2023 Thread starter #7 kinje ketile said: Kwaio Prison imepata 5 na Yanga wanapataga 5... Hivyo, Yanga = Prison Conclusion: Utopolo ni Level za Prison..! Mwl wa Matheee .. hapa ni Wapi.? Click to expand... Mbumbumbu lingine hili,timu yako imecheza na Kipanga ikawafunga 3-1 kwa moja, Prison kacheza na hao Kipanga kawafunga 5-2
kinje ketile said: Kwaio Prison imepata 5 na Yanga wanapataga 5... Hivyo, Yanga = Prison Conclusion: Utopolo ni Level za Prison..! Mwl wa Matheee .. hapa ni Wapi.? Click to expand... Mbumbumbu lingine hili,timu yako imecheza na Kipanga ikawafunga 3-1 kwa moja, Prison kacheza na hao Kipanga kawafunga 5-2
Kitambi chakufutia tachi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 1,081 Reaction score 2,606 Sep 5, 2023 #8 Frank Wanjiru said: Mbumbumbu lingine hili,timu yako imecheza na Kipanga ikawafunga 3-1 kwa moja, Prison kacheza na hao Kipanga kawafunga 5-2 Click to expand... mbwa mwingine huyu iyo timu yako NYUMA MWIKO imecheza mechi mbili na simba mwaka huu unaweza ukaniambia makeo yake?
Frank Wanjiru said: Mbumbumbu lingine hili,timu yako imecheza na Kipanga ikawafunga 3-1 kwa moja, Prison kacheza na hao Kipanga kawafunga 5-2 Click to expand... mbwa mwingine huyu iyo timu yako NYUMA MWIKO imecheza mechi mbili na simba mwaka huu unaweza ukaniambia makeo yake?