Wakuu nimerudi kwenu tena, nilikua na kasumba napiga bao tatu ndani ya dk.20-30, ila leo na siku za hivi karibuni mambo yamekua magumu.
Yaani, bao tatu, Leo kidogo nifie kwenye uke wa mtu, la pili ilikua mbinde, la tatu ndiyo ikawa balaa zaidi, kiukweli la tatu, kidogo likatae, nilitaka niache game kati kati.
Kiukweli ni mwanachama wa CHAPUTA, ila nafanya mara moja kwa wiki hali ikiwa ngumu sana, ila dah, sijajua tatizo ni nini, na kuna kipindi niliacha CHAPUTA zaidi ya miezi miwili, na sasa hivi CHAPUTA mara 1 kwa wiki au kwa wiki mbili.
Bao tatu, nilikuaga napiga chapu na guvu zangi nabaki nazo, sasa Leo, nipo kama nimepigwa shock ya umeme, wakuu tatizo ni nini. Mimi bado mdogo kwenye haya mambo, nmetumia zaidi ya masaa mawili kupiga bao tatu.