Matatizo Simba Sport Club

Ben Jack

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
66
Reaction score
5
Hivi haya matatizo ya clabu ya SIMBA yanatokana na na kipi hasaa
 
Yanatokana na kugombania madaraka ili kushibisha tamaa zao za kufaidika kuptia Simba
 
yanatokana na huyo msomali kazi yake uongo na kupiga majungu wachilia mbali hisoria yake ya wizi lakini wa kulaumiwa ni wale waliomchagua kwani tabia yake inajulikana na hawezi kubadilika kwani alianza kuiba toka yuko CDA ikapelekewa kufukuzwa wakati wa serikali ya awamu ya kwanza
 

Pia wachezajii wamezidi bangi kamaa wakina naniiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…