Matatizo katika simu

kikiey

New Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Nna huawei y-530 nimeweka 8gb card lakin cha ajabu nkiingiza vtu ikafika ujazo wa 20mb havisomi kama ni picha ukiingza inaandka "cant load this file" nkiweka nyimbo inaandka "this file doesnt exist in your media" nkabadili na kueka 4gb matatzo ni yaleyale nkabadlisha tena na kueka 2gb lakin stil bado shida ni ile ile...sielewi nifanye nini na hii simu...msaada plZ!!!
 
Asante nahic iko tumbon kw samaki mda huu
 
Hizi simu ukizi-root ndio zinakua nzuri zaidi. Can you?
 
je ukiweka vitu kwenye internal storage vinakuwa poa au navyo zina zingua
 
Vitu kwa internal storag vnakaa frex tuu...sema ukibadil storag ndo tatzo linaanza
 
Nimeweka nyingne karbu aina 4 tofaut stil tatzo ni hilo hiloo
 
Nakushauri kama upo dar nenda kwenye service center za Huawei Lotus Africa zilizopo kijitonyama sayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…