Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 29, 2014 #1 Nimekuwa Nikifuatilia haya matangazo ya magodoro, Tangazo la kwanza lilimuhsu Shomari Kapombe alipokuwa akikipiga Lunyasi, Tangazo la sasa linawahusu wachezaji Ramadhani Singano na Jonas Mkude (SSC) Why?
Nimekuwa Nikifuatilia haya matangazo ya magodoro, Tangazo la kwanza lilimuhsu Shomari Kapombe alipokuwa akikipiga Lunyasi, Tangazo la sasa linawahusu wachezaji Ramadhani Singano na Jonas Mkude (SSC) Why?
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,270 Jan 29, 2014 #2 Amavubi said: Nimekuwa Nikifuatilia haya matangazo ya magodoro, Tangazo la kwanza lilimuhsu Shomari Kapombe alipokuwa akikipiga Lunyasi, Tangazo la sasa linawahusu wachezaji Ramadhani Singano na Jonas Mkude (SSC) Why? Click to expand... watakuwa wanalala sana hao.
Amavubi said: Nimekuwa Nikifuatilia haya matangazo ya magodoro, Tangazo la kwanza lilimuhsu Shomari Kapombe alipokuwa akikipiga Lunyasi, Tangazo la sasa linawahusu wachezaji Ramadhani Singano na Jonas Mkude (SSC) Why? Click to expand... watakuwa wanalala sana hao.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 29, 2014 Thread starter #3 Masuke said: watakuwa wanalala sana hao. Click to expand... Masukeeeeeeeeeeeeeeeeeee
M mahakama ya kazi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 1,520 Reaction score 245 Jan 31, 2014 #4 wanawapenda
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 1, 2014 Thread starter #5 mahakama ya kazi said: wanawapenda Click to expand... dadavua la sivyo unakula ban
Collin Senior Member Joined Dec 22, 2008 Posts 143 Reaction score 29 Feb 1, 2014 #6 Amavubi said: dadavua la sivyo unakula ban Click to expand... wanamvuto wa biashara
M mahakama ya kazi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 1,520 Reaction score 245 Feb 1, 2014 #8 Amavubi said: dadavua la sivyo unakula ban Click to expand... ni wachezaji nyota,kwahiyo wanamfuto wa biashara,wanapendwa.
Amavubi said: dadavua la sivyo unakula ban Click to expand... ni wachezaji nyota,kwahiyo wanamfuto wa biashara,wanapendwa.