Ndugu zangu,kwanza nawaasa watanzania wa vyama vyote kuilinda amani yetu kama tunu ya Taifa hili.
Pili,naomba tutafakari mambo yafuatayo:
Je,CCM ikishindwa kidemokrasia kabisa,ipo tayari kung'atuka?
Je,UKAWA wakishindwa kidemokrasia kabisa,wapo tayari kukubali matokeo?
Misingi ya maswali haya ni mwenendo wa uchaguzi,chuki iliyokithiri,shauku na mihemko ya pande zote na hofu.