Maswali ya interview TRA, post ya accountant.

Bonobo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
364
Reaction score
672
Habari wakuu,
hapa nataka tutumie vipaji vyetu vya kubashiri kwenye mambo ya msingi kidogo.

Tusaidiane kuweka vichwa vya habari vya issue kubwa kubwa za kiuchumi zilizotokea africa mashariki kwa ujumla, tangu awamu ya tano ianze.

Naamin kijana akipitia katika ishu zoote zitakazowekwa hapa, tra hawapitii.

Husiwe m'binafsi mkuu, tiririka hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…