Maswali gani hutoka kwenye written interview ya Tutorial Assistant SUA?

Kiongozi maisha yako yenyewe ni interview tosha mpk leo huja experience chochote?? We subiri tu siku ifike nenda, ulizwa na jibu..

Mambo yakujipanga kwenye hizi interview nilishaachaga mda, nilipiga msuli miezi mi2.

Kama niko advance mwisho wa siku naenda kufanya written sikukutana na swali hata moja lenye majibu ya Yale niliyojisomea. Mungu Shahid kwenye hili nikasema duuuuuuuuh ni Nini hiiiiii????

Kama uko vziur kwenye presentation kiongoz wala usiwe na kitete we nendaaa tuuuuuu
 
Hili ndio jibu sahihi sana kabisa
 
Mkuu kupeana mwanga muhimu.
maana kama Open maswali yali base kwnye Teaching ODL tu.
ndioo maana nikaomba niuliziie kuhusu SUA. hata nilichosoma haikatokaaa basi bora virelate basi.
 
Mbona wamelitoa tangazo ajira portal? Wameweka la manispaa ya Bukoba! Kwahyo kama hujaona jina lako itakuwaje sasa
 
Jpo umeshindwa kutaja kada,nakushaur Soma vitu vinavyohusiana na Kozi nzima. Usiache hta kimoja.
 
Sasa utafikaje kwenye presentation hujafaulu written mkuu?... Hahahahahahaa.. lazima utoboe written kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…