Billy Graham
Member
- Oct 27, 2019
- 11
- 24
Application kwa intake ya October 2019 si itakuwa imeshafungwa au hata mwakani?Nzuri kapige though fee yake ni kubwa sana
Application kwa intake ya October 2019 si itakuwa imeshafungwa au hata mwakani?
Kairuki mwisho ni kesho apply leoApplication kwa intake ya October 2019 si itakuwa imeshafungwa au hata mwakani?
Here the link HKMU-OSIM : LoginKairuki mwisho ni kesho apply leo
Deadline Yao ni 30 October for Round 2
. Vp kuhusu masters of Biochemistry wakuu?Gharama za hii kitu zipo juu
H.Kairuki 8.9M
UDSM 7.5M
MUHAS/ CUHAS 8-9M
Nelson Mandela 7.9
Masters of Science in Biochemistry inatolewa na hivi vyuo Tanzania. Vp kuhusu masters of Biochemistry wakuu?
Masters of Science in Biochemistry inatolewa na hivi vyuo Tanzania
::UDSM ada n 4.3M
::SUA ada n 7.6M
:: MUHAS ada mpka 8M
Na zote zinatofautiana kulingana na chuo husika maana zipo kwenye faculties tofauti kwa kila chuo
Ni Masters ambayo haina watu wengi hapa kwetu na ukiangalia selection ni wachache wanaoaply
Labda kwa kua haijazoeleka
Nawasilisha
Una bachelor na nini mkuu??. Vp kuhusu masters of Biochemistry wakuu?