Nimekupata bro, ila mimi sikumaanisha reset ya kwenye settings, ingekuwa ni hivyo angechange tu hiyo lugha. Mimi nahitaji zile code zenye unadial moja kwa moja toka kwenye dial pad.
Kuna sistangu ako iPhone la kichina, sasa amelikorokochoa akajikuta amebadili lugha na kuseti Mandarin. Mara ya kwanza nilibofya kwa kubahatisha nikamrekebishia, sasa nipo mbali nae na yeye hawezi kufanya ka mimi. Mwenye code ya kureset default anipatie nimpeane mazee...
Natanguliza shukrani za dhati!
To reset iPhone, press and hold the Sleep/Wake button and the Home button at the same time for at least 10 seconds, until the Apple logo appears. itaReset to default language English mostly.....