400,000 watu watashuhudia inaguration ya Obama .Lakini almost one million people will protest obamas inaguration .I thought Obama is loved by everybody
400,000 watu watashuhudia inaguration ya Obama .Lakini almost one million people will protest obamas inaguration .I thought Obama is loved by everybody
When people protested Putin's election, the American media made a big deal out of it. Will they make a big deal out of these protests against Obama? Or is it a double standard?
Sijakuelewa hapo unaposema "He is a the second"... Okay, huwezi kuwazuia wananchi kutimiza haki yao ya msingi ya kuandamana. Afterall, matokeo ya uchaguzi yapo clean and clear...
Kigezo cha kupendwa au kuchukiwa Obama ni maanadamano au matokeo ya kura? Naona hii ni kama smear campaign ya Republicans baada ya kupigwa mtama kavu kavu. Waache waandamane maana haitafanya Obama asiwatawale kwa mara ya pili. Tump will commit suicide this time around.
400,000 watu watashuhudia inaguration ya Obama .Lakini almost one million people will protest obamas inaguration .I thought Obama is loved by everybody