Na nina ndotoza kusomea CO kupitia college, halafu after CO nisomee tena MD. Je, inawezekana? Na je, chuo kipi cha serikali ni kizuri zaidi, na kwa hizi maksi zangu naweza pata nafasi, na ada ina-range kwenye Shilingi ngapi?
AMO TRAINING CENTRE TANGA, KCMC GENERAL SCHOOL OF HEALTH, MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE, KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE, LUGALO MILTARY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE, MTWARA CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE, LINDI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER, MASASI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER, KILOSA CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE, MAFINGA CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER, PRIMARY HEALTHCARE INSTITUTE OF IRINGA, NJOMBE COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE SONGEA CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE, SUMBAWANGA CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER, KIGOMA CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER, MASWA CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE NA MUSOMA CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE
But there is high competition to get selection kikubwa Mungu tuu akujalie uchaguliwa lakini kama unahitaji pendekezo langu omba ivyoo vya vijijin kama musoma na maswa application window is 20 may 2020