Of course a one track mind will always see one direction, ukimwambia siendi Kaskazi, basi anaelewa unaenda kusi.
Hajui kwamba unaweza kuwa unaenda magharibi au mashariki.
Au unazama katika Kaluza-Klein manifold kabisa uondoke kwenye neighborhood.
Huyo Isaac Newton mwenyewe anayesifiwa kwa mengi alikataa kuitwa great thinker.
Does that mean alitaka kuitwa "Great Kilaza"?
Nani anakurupuka hapa sasa?